Walengwa:
Watoa huduma za afya, maafisa miradi ya lishe na yeyote atakayependa kuhudhuria mafunzo haya.
Malengo ya Mafunzo:
-Kujifunza njia sahihi za uandaaji wa chakula cha nyongeza cha watoto.
-Kujifunza mbinu bora za uzalishaji wa chakula cha nyongeza kwa watoto.
-Kuimarisha mbinu za upatikanaji wa chakula mchanganyiko kwa watoto katika jamii.
Mafunzo yatafanyika kwa njia ya Mtandao(e-Learning)| Tarehe: 05 - 09 Mei, 2025;
Lugha itakayotumika ni Kiswahili.
-Utakapojisajili kwa ajili ya mafunzo haya utatumiwa namba ya malipo (control number).
Mawasiliano: +255 766 888 435, +255 713 933 419