Skip to main content
Call us : (255) 734 275 369 E-mail : info@tfnc.go.tz
Log in
TFNC e-Learning
Home
TFNC e-Learning
  • Home
  • More

Mafunzo ya Uandaji sahihi wa chakula cha nyongeza cha watoto kwa afya bora


Walengwa: Watoa huduma za afya, maafisa miradi ya lishe na yeyote atakayependa kuhudhuria mafunzo haya. Malengo ya Mafunzo: -Kujifunza njia sahihi za uandaaji wa chakula cha nyongeza cha watoto. -Kujifunza mbinu bora za uzalishaji wa chakula cha nyongeza kwa watoto. -Kuimarisha mbinu za upatikanaji wa chakula mchanganyiko kwa watoto katika jamii. Mafunzo yatafanyika kwa njia ya Mtandao(e-Learning)| Tarehe: 05 - 09 Mei, 2025; Lugha itakayotumika ni Kiswahili. -Utakapojisajili kwa ajili ya mafunzo haya utatumiwa namba ya malipo (control number). Mawasiliano: +255 766 888 435, +255 713 933 419

Know More

TFNC e-Learning

Mafunzo ya Uandaji sahihi wa chakula cha nyongeza cha watoto kwa afya bora

Walengwa: Watoa huduma za afya, maafisa miradi ya lishe na yeyote atakayependa kuhudhuria mafunzo haya. Malengo ya Mafunzo: -Kujifunza njia sahihi za uandaaji wa chakula cha nyongeza cha watoto. -Kujifunza mbinu bora za uzalishaji wa chakula cha nyongeza kwa watoto. -Kuimarisha mbinu za upatikanaji wa chakula mchanganyiko kwa watoto katika jamii.




Skip available courses

Available courses

INFANT
INFANT AND YOUNG CHILD FEEDING IN EMERGENCY
MAFUNZO
MAFUNZO YA UANDAAJI SAHIHI WA CHAKULA CHA NYONGEZA CHA WATOTO KWA AFYA BORA


Academi

All Rights Reserved. © 2025 TFNC e-Learning System.

Related link

    Ministry of HealthGlobal Nutrition ReportMUHAS

Contact Us

22 Barack Obama Av. P.O Box 977, Dar es salaam,Tanzania

Phone : (255) 734 275 369

Email : info@tfnc.go.tz

Follow Us

All Rights Reserved. © 2025 TFNC e-Learning System.

You are not logged in. (Log in)
Data retention summary
Powered by Moodle